RONNY TSUMAH

Nilienda wilayani jumatano nilikuwa an dhikhi .Tulikuwa watu watano hapo mbele kwa matatu.Wawili walikuwa karibu na dereva,na wawili walikuwa kwa kiti ya abiria na pia tena kulikuwa na jamaa amekalia kwa gear la hilo gari.Yule jamaa alikuwa upande wa kulia alikuwa akini finya mno-hanithi.Nili kasirika mno na nilikuwa nimechafuka na mchanga na pia binda la surwali ilikuwa imepakwa mavi.Haiya punde si punde nika simama nakutoka kwenye garo kwa kituo cha basi.

Sasa  ile tulifika baada ya masaa matano hio kukasirika na huyo hanithi wale walio nialika walikuwa na kazi kubwa kunitambua.Siku jua vile nilikuwa nime kaa mbaya wakanipatia kitambaa baridi la uso, nijisafishe kabla ya kuanza safari ya kufika mahali tulikuwa tunanenda.
Nilijisafisha sura lakini walio ni laki waliniambia nisafishe nywele pia..Nwele zenyewe zili kuwa na rangi ya kahwia.
Vile kufanya to hivyo nikanza kucheka.Wanawake utafitu siko kwa siku kuu hapa.

Haiya wakanipeleka kwa kempi ya wakimbizi na nilikutana na wanawake wa nchi ya Liberia.Nikastaajabu,wanawake wa unri au rika ya mamangu aka tembea karibu kwangu na akasema.Wanume wa tano wame najisi kwa nguvu Nina toka damu  kila saa nikilala na mume.Pia tena harufu hutokea kutoka sehemu zangu za siri.Alafu watu huongea kusikia hio hadithi ilibidi nmwambie.Pole Shangazi Asante Shangazi?Nani aliku kujanisi Shangazi.Pole Shangazi.
Ikafikia mahali mmoja kwa umati wa viongozi wa hio kikundi ya watu.Akasema angalia binti wangu mimi ndio mama wako.Naweza kusoma,binti wangu pia anaweza kusoma.Hebu niangalie sijiwezi.